HAFLA FUPI YA KUMUAGA BRUNO MKONYI

Staff wa ofisi ya Dar es Salaam wameandaa hafla fupi ya kumuaga Bruno Mkonyi na Kumtakia kila la kheri kwenye majukumu yake mapya. Akiongea katika hafla hiyo Bruno ameshukuru na kuahidi ataendelea kuwa sehemu ya ERB siku zote.