WARAKA WA NDANI

WARAKA WA NDANI WA KATAZO LA KUTUMA NYARAKA

READ MORE
INTERNAL MEMO; from Eng. Erick N. Nkililehi

READ MORE
Kikao cha wafanyakazi kinafanyika leo tarehe 18 na 19, Februari 2025, Ofisi za ERB Dodoma

READ MORE
Imetokea hitilafu ya umeme ambayo imesababishwa na transforma iliyopo karibu na ofisi ya dodoma mnamo saa tisa na nusu alasiri (9:30) leo tarehe 30 Januari, 2025. Staff wa ofisi ya dodoma mnashauriwa kuwa watulivu wakati taratibu za urejeshaji umeme zikiendelea. Asante.

READ MORE
Napenda kuwataarifu kuwa kutakuwa na Uchaguzi wa Viongozi wa Bodi ya WAHANDISI SACCOS Ltd katika Mkutano Mkuu wa mwaka 2024 wa wanachama utakaofanyika tarehe 23 Novemba 2024 jijini Dodoma katika ukumbi Kibaoni – Royal Village Hotel kuanzia saa 3.00 Asubuhi.
2. Kwa wanachama ambao wanahitaji kuomba nafasi za uongozi wanatakiwa kuchukua na kujaza fomu na kuzirejesha kabla ya tarehe 20 Novemba, 2024 saa 10:00 Jioni. Fomu zinapatikana kwa katibu wa Chama Ndg. Christian Kiwelu, aliyepo Ghorofa ya chini Jengo la Mhandisi Annex.
Imetolewa na:
Mha. Erick Nestory
KAIMU MWENYEKITI WA BODI

READ MORE
OFFICIAL LOGO FOR UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024

READ MORE
The intranet is now accessible via the internal office network. For remote access outside the office, please use the ERB VPN.

READ MORE
USIKOSE KUANGALIA KIPINDI MAALUMU CHA EAD KUPITIA LUNINGA YAKO YA TBC LEO TAREHE 25/10/2024

READ MORE
YOUTH ACCELERATION PROGRAMME (YEAP) STAKEHOLDERS WORKSHOP

READ MORE
Professional Entrepreneurship and Innovation Training

READ MORE
Staff wa ofisi ya Dar es Salaam wameandaa hafla fupi ya kumuaga Bruno Mkonyi na Kumtakia kila la kheri kwenye majukumu yake mapya. Akiongea katika hafla hiyo Bruno ameshukuru na kuahidi ataendelea kuwa sehemu ya ERB siku zote.

READ MORE
MSAJILI NA MTENDAJI MKUU WA ERB KUFANYA MKUTANO NA DIASPORA

READ MORE
Mafunzo ya Internation Organisation of Standards yamefanyika ofisi za Dar es Salaam ambayo yamehusisha asilimia Kubwa ya watumishi wote wa ERB wakiwemo wale waliohudhuria Virtually.

READ MORE
Registrar travelling to Europe from 11th to 29th October, 2024 on a study tour organized by the EAC Secretariet and among other things while in Europe including collaborating with embassies engage engineers in diaspora to explore opportunities in Tanzania.

READ MORE
Matengenezo ya Generator Ofisi ya Dodoma yanaendelea leo Jumamosi

READ MORE
Away from office, Register from 13th to 15th septermber

READ MORE
ERMS will be full operational with effect from 1st July, 2024

READ MORE
This is to inform you that she will be away from Duty Station from July 1st, 2024 to July 15th, 2024, in order to complete her academic term exams.

READ MORE
PSSF imetoa mafunzo kwa wafanyakazi wa ERB, ambapo walipata fursa ya kujifunza huduma zitolewazo na Mfuko huu wa wafanyakazi. Pia walipata fursa ya kujifunza jinsi ya kufungua account ya uwanachama kupitia tovuti ya PSSSF ambayo itasaidia mchangiaji kuona utoaji wa michango yake.

READ MORE
EXECUTIVE LEADERSHIP PROGRAM FOR ENGINNERS REGISTRATION BOARD OF DIRECTORS AND SENIOR MANAGEMENT WHICH WILL BE COORDINATED BY UONGOZI INSTITUTE IN ARUSHA

READ MORE
The Erb family would like to express our heartfelt gratitude for your dedicated service in public office. We wish you a healthy and happy retirement. God bless you for your excellence and commitment throughout your years of government service

READ MORE
Msajili amesafiri leo tarehe 19 May 2024, kuelekea mkoa wa Dar es Salaam na atarejea Mkoani Dodoma tarehe 22nd May 2024.

READ MORE
Kesho saa tatu kamili asubuhi Boardroom kutakuwa na kikao cha Watumishi wote kuhusiana na AETD 2024 ili kupata uelewa wa pamoja kuhusu tukio hilo na majukumu tuliyonayo. Watumishi wote mnahimizwa kushiriki kikao hicho bila kukosa, kwa wale wa DSM mtashiriki kupitia zoom.
Halikadhalika saa tisa kamili jioni kutakuwa na kikao cha watumishi ambao watakuwa wanashughulika na masuala ya mfumo wakati wa AETD 2024.

READ MORE
WORKING SESSION FOR PREPARATION OF ANNUAL PROCUREMENT PLAN FOR FINACIAL YEAR 2024/2025

READ MORE
The Registrar will be in NYERI from Monday, May 6, to Saturday, May 11, 2024, at the invitation of EBK to participate in the EBK Engineering Cooperation Agreement and, separately, the EPC2024 and EAC MRA meetings.

READ MORE
DIGITAL SIGNATURE exercise and training will be conducted from 06th - 10th May 2024 to all staff in Dodoma.

READ MORE
In Geita and Kagera regions, Register will be present from April 27 to 29, 2024, to take part in ERB activities such as Monitoring of Compliance and the development of STEM (science, technology, and maths) for secondary school students as part of the "Planting Seeds for the Future" project. engineers

READ MORE
1. From 15th and 16th April, 2024 in Morogoro-Ministerial Council

2. From 17th and 18th April, 2024 in Arusha - EAC Registration's MRA meeting

3. On 19th April, 2024 - EACOP Dar es Salaam

4. On 20th April 2024, Zanzibar invintation

READ MORE
Menejimenti imesafiri kwenda Dar es Salaam kuanzia leo tarehe 02- Aprili, 2024 kwaajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo mkutano, monitoring. Baadhi ya staff kutoka idara na vitengo pia wamejumuika katika safari hii.

READ MORE
Msajili amesafiri kikazi kuelekea mkaoni morogoro kushiriki Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Ujenzi litakalofanyika kuanzia jumatatu tarehe 15 hadi 16 Aprili, 2024.

READ MORE
Away from duty station from 14th to 17th April, 2024

READ MORE
Kuelekea harusi ya Adv. Alice Moshi, Mbuke Joseph amekabidhi kijiti ikiwa ishara ya kuelekea kwa ndoa ya Adv. Alice baadae mwezi huu. Hongera kwa Adv. Alice

READ MORE
The 107th board meeting will be held from 27th-28th March, 2024 at ERB Headquarters Office, Dodoma.

READ MORE
TAARIFA YA KUSAFIRI KIKAZI

1. ENFORCEMENT

Watumishi 3 wamesafiri kwenda Mkoani Iringa kwaajili ya ufuatiliaji wa miradi (monitoring). Tarehe 18-22 March 2024

Eng Mary NIndi

Eng Erick Nestor

Eng Christian Kiweru

2. REGISTRATION

Watumishi 3 wamesafiri kwenda Mkoani Dar es Salaamkutembelea taasisi za umma kuhusiana na maswala ya kihandisi. Tarehe 17-22, Machi 2024

Eng. Jamuhuri Msabila

Eng. Thereza Laurent

Eng. Lightness Mrema

3. PROFFESIONAL DEVELOPMENT AFFAIRS

Watumishi 3 wamesafiri mmoja Nchini Kenya kikazi na wawili Mkoani Dar es Salaam kwenye mkutano na Benki ya Dunia kuhusiana na maendeleo ya SEAP

Eng Veronica Ninalwo

Eng Joshua Njurumi

Eng Jubilate Kaaya

4. PROCUREMENT UNIT

Mumishi 1 amesafiri kwenda Nchini Kenya kikazi

Gati Max

READ MOREERB in collaboration with AEQSRB will conduct SEAP Induction Seminar in Zanzibar
READ MOREWatumishi wote mnatakiwa kujaza majukumu yenu kwenye mfumo wa PEPMIS ifikapo saa moja kamili usiku na Wakuu wa Idara saa mbili kamili usiku.
Usipokamilisha kwa wakati kuna changamoto ya kukosa mshahara wa mwezi wa tatu. https://ess.utumishi.go.tz/sessions/signin
READ MOREThe 21st SEAP Anniversary begins on February 26, 2024 to February 28, 2024 at ERB Office, PSSSF Commercial Complex Dar es Salaam.
READ MORE