TANGAZO LA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA BODI YA WAHANDISI SACCOS LTD KWENYE MKUTANO MKUU MWAKA 2024

Napenda kuwataarifu kuwa kutakuwa na Uchaguzi wa Viongozi wa Bodi ya WAHANDISI SACCOS Ltd katika Mkutano Mkuu wa mwaka 2024 wa wanachama utakaofanyika tarehe 23 Novemba 2024 jijini Dodoma katika ukumbi Kibaoni – Royal Village Hotel kuanzia saa 3.00 Asubuhi.
2. Kwa wanachama ambao wanahitaji kuomba nafasi za uongozi wanatakiwa kuchukua na kujaza fomu na kuzirejesha kabla ya tarehe 20 Novemba, 2024 saa 10:00 Jioni. Fomu zinapatikana kwa katibu wa Chama Ndg. Christian Kiwelu, aliyepo Ghorofa ya chini Jengo la Mhandisi Annex.
Imetolewa na:
Mha. Erick Nestory
KAIMU MWENYEKITI WA BODI