- 29/02/2024
- Posted by: ICT Admin
Watumishi wote mnatakiwa kujaza majukumu yenu kwenye mfumo wa PEPMIS ifikapo saa moja kamili usiku na Wakuu wa Idara saa mbili kamili usiku.
Usipokamilisha kwa wakati kuna changamoto ya kukosa mshahara wa mwezi wa tatu.
https://ess.utumishi.go.tz/sessions/signin