NJOMBE YAFIKIWA NA KAMPENI YA SSP

PICHANI: Timu ya SSP Mission ikiwa katika picha za pamoja na MKUU WA MKOA WA NJOMBE, Mhe. ANTONY MTAKA na KATIBU TAWALA WA MKOA HUO Bi. JUDICA OMAR. Timu hiyo imefika katika ofisi ya mkuu wa mkoa kwaajili ya kutoa mrejesho kwa uongozi wa mkoa baada ya kutembelea shule zipatazo tano (5) ambazo zinatarajiwa kuingia kwenye mpango wa SSP kwa mkoa wa Njombe.