HITILAFU YA UMEME OFISI YA DODOMA

Imetokea hitilafu ya umeme ambayo imesababishwa na transforma iliyopo karibu na ofisi ya dodoma mnamo saa tisa na nusu alasiri (9:30) leo tarehe 30 Januari, 2025. Staff wa ofisi ya dodoma mnashauriwa kuwa watulivu wakati taratibu za urejeshaji umeme zikiendelea. Asante.