ERB imefanya mazungumzo na UCC (University Computing Centre), taasisi ya Teknolojia chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kwa mazungumzo muhimu kuhusu kazi zao za kutengeneza mifumo mbalimbali na mafunzo wanayotoa katika maeneo kama AI, Graphics, na zaidi.