Ujumbe wa Baraza la Uhandisi la India (ECI) wawasili Ofisi za ERB Dodoma

Ujumbe wa Baraza la Uhandisi la India (ECI), ukiongozwa na Dkt. Priya Ranjan Swarup, Katibu wa ECI umewasili katika Ofisi za Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) na kupokelewa na Mwenyeji wake Msajili wa Bodi hiyo Eng. Bernad Kavishe jijini Dodoma