ECI Watembelea Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma

Mwendelezo wa Matukio mbalimbali ya Katibu wa Baraza la Uhandisi la India (ECI) Dkt. Priya Ranjan Swarup akiwa na mwenyeji wake Msajili wa Bodi ya Wahandisi (ERB) Mhandisi, Bernard Kavishe wakati alipotembelea Ofisi mbalimbali za Wizara na Taasisi zilizopo katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.