KIKAO CHA MSAJILI NA IDARA YA UTAWALA NA FEDHA
Kikao cha Msajili na Idara ya fedha na utawala kimefanyika leo tarehe 15/02/2025 katika ofisi ya ERB Dar es Salaam ikiwa ni mwendelezo wa Msajili kufanya vikao na idara na vitengo.