Hongera Bi. Sharon

Bi. Sharon Kissimbo amechumbiwa siku jana tarehe 22/02/2025 na anatarajia kufunga ndoa mwezi Mei mwaka huu. Tumpongeze mtumishi mwenzetu kwa hatua hii muhimu katika maisha yake pamoja na kumshika mkono kuelekea kuhitimisha jambo hilo.