CHEREKO CHEREKO ERB

ERB inazidi kubarikiwa, CPA. Kassim Kassim na mweza wake wanatarajia kufunga ndoa mwezi Mei mwaka huu. Tumpongeze mtumishi mwenzetu kwa hatua hii muhimu katika maisha yake pamoja na kumshika mkono kuelekea kuhitimisha jambo hilo.