Training on Risk Management

CPA Paul Bilabaye akitoa mafunzo ya siku mbili kuanzia tarehe 6-7 Machi, 2024 kuhusu Risk Register kwa wawakilishi wa Idara na Vitengo wakiwa kama Risk Champion. Watumishi wa ofisi ya ERB Dar es Salaam walishiriki kwa njia ya mtandao (Zoom).