YOUTH IN SCIENCE AND TECHNOLOGY
Youth acceleration program,mpango ulioanzishwa na bodi ya usajili wa wahandisi (ERB) kwa lengo la kuwasaidia vijana kujitambua kwa kunoa bunifu na taaluma zao ili waweze kuanzisha biashara zao wenyewe.