KUSAFIRI KIKAZI

TAARIFA YA KUSAFIRI KIKAZI
1. ENFORCEMENT
Watumishi 3 wamesafiri kwenda Mkoani Iringa kwaajili ya ufuatiliaji wa miradi (monitoring). Tarehe 18-22 March 2024
Eng Mary NIndi
Eng Erick Nestor
Eng Christian Kiweru
2. REGISTRATION
Watumishi 3 wamesafiri kwenda Mkoani Dar es Salaamkutembelea taasisi za umma kuhusiana na maswala ya kihandisi. Tarehe 17-22, Machi 2024
Eng. Jamuhuri Msabila
Eng. Thereza Laurent
Eng. Lightness Mrema
3. PROFFESIONAL DEVELOPMENT AFFAIRS
Watumishi 3 wamesafiri mmoja Nchini Kenya kikazi na wawili Mkoani Dar es Salaam kwenye mkutano na Benki ya Dunia kuhusiana na maendeleo ya SEAP
Eng Veronica Ninalwo
Eng Joshua Njurumi
Eng Jubilate Kaaya
4. PROCUREMENT UNIT
Mumishi 1 amesafiri kwenda Nchini Kenya kikazi
Gati Max