KIKAO CHA IDARA YA HABARI, UHUSIANO NA MASOKO, Dar es Salaam

idara ya habari imefanya kikao ambapo ni utaratibu wa idara kukaa kikao kujadili na kufanya tathimin ya kazi zinazofanywa, kikao hiki kilifanyika Dar es salaam na udhuriwa na wadau wengine wa habari