Kila la Heri CPA. Emelia
Watumishi wa ERB ofisi ya Dar wamemuaga rasmi CPA. Emelia siku ya Alhamisi tarehe 28 Machi, 2024 na kumtakia kila la heri katika majukumu yake mapya. Kukata keki ilikuwa ni ishara ya upendo na furaha!