INTERVIEWS FOR PROFESSIONAL ENGINEERS

"ERB imeendesha mahojiano kwa Wahandisi wa Kitaaluma wanaoupgradia hadhi ya kuwa Consultant Engineers na kutoka Consultant Engineers kwenda Independent Consultant Engineers. Hatua hii inalenga kuhakikisha ufanisi, weledi na viwango vya juu vya taaluma katika sekta ya uhandisi." Dar es Salaam PSSSF Commercial Complex ghorofa namba 12