KUSAFIRI KIKAZI, DAR ES SALAAM
Menejimenti imesafiri kwenda Dar es Salaam kuanzia leo tarehe 02- Aprili, 2024 kwaajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo mkutano, monitoring. Baadhi ya staff kutoka idara na vitengo pia wamejumuika katika safari hii.