Hafla ya mafanikio ya miaka mitatu ya Rais Samia katika sekta ya ujenzi

Leo tarehe 05/04/2024 inafanyika hafla ya mafanikio ya miaka mitatu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sekta ya ujenzi itakayofanyika katika ukumbi wa Mabeyo Complex, Dodoma. Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent L. Bashungwa ataeleza mafanikio hayo ikifuatiwa na futari.