MBUKE RASMI AKABIDHI KIJITI KWA ALICE
Kuelekea harusi ya Adv. Alice Moshi, Mbuke Joseph amekabidhi kijiti ikiwa ishara ya kuelekea kwa ndoa ya Adv. Alice baadae mwezi huu. Hongera kwa Adv. Alice