ERB, KANDA YA ZIWA

Uwepo wa ERB, kanda ya ziwa pia utaambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo, “Oath Taking Session” kwa wahandisi mahiri na Ufuatiliaji, Uzingatiaji na uendelezaji wa Masomo ya Sayansi , Teknolojia na Hisabati (STEM) kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari kama sehemu ya mradi unaoitwa “Planting Seeds for Future Engineers”