MEI MOSI DAY

Kauli mbiu ya Mei Mosi mwaka huu, "Nyongeza ya mishahara ni msingi wa mafao bora na kinga dhidi ya hali ngumu ya maisha" kitaifa imefanyika Mkoani Arusha uwanja wa Sheikh Amri Abeid na mgeni rasmi akiwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango akimuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.