PROPOSED DISTRIBUTION OF ACTIVITIES ANNUAL TECHNICIAN DAY 23TH - 24TH MAY 2024

Kesho saa tatu kamili asubuhi Boardroom kutakuwa na kikao cha Watumishi wote kuhusiana na AETD 2024 ili kupata uelewa wa pamoja kuhusu tukio hilo na majukumu tuliyonayo. Watumishi wote mnahimizwa kushiriki kikao hicho bila kukosa, kwa wale wa DSM mtashiriki kupitia zoom.
Halikadhalika saa tisa kamili jioni kutakuwa na kikao cha watumishi ambao watakuwa wanashughulika na masuala ya mfumo wakati wa AETD 2024.