KIKAO CHA WAFANYAKAZI LEO TAREHE 05, JUNE 2024.

Masajili wa Bodi ya Wahandisi (ERB) Eng. Bernard Kavishe akiongea wakati wa kikao caha wafanyakazi kilichofanyika leo tarehe 05 June, 2024 katika ofisi za Makao, Dodoma ambapo alisisitiza wafanyakazi kufanya kazi kwa weledi na ufanisi. Na pia kusikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili wanyakazi.
Bodi imejiwekea utaratibu wa kuwa na vikao vya wafanyakazi ili kushirikishana masuala mbalimbali ya kiutumishi na utekelezaji wa majukumu ya kilasiku.