CERTIFICATE OF APPRECIATION

Kupitia kikao cha wafanyakazi kilichofanyika jana, Msajili aliwapatia wafanyakazi vyeti vya shukrani kwa ushiriki wao mzuri kwenye maadhimisho ya siku ya Mafundi Sanifu iliyofanyika tarehe 23-24/05/2024, Jijini Dodoma kwenye ukumbi wa Mabeyo Hall.