PSSSF ONLINE SERVICES TRAINING
PSSF imetoa mafunzo kwa wafanyakazi wa ERB, ambapo walipata fursa ya kujifunza huduma zitolewazo na Mfuko huu wa wafanyakazi. Pia walipata fursa ya kujifunza jinsi ya kufungua account ya uwanachama kupitia tovuti ya PSSSF ambayo itasaidia mchangiaji kuona utoaji wa michango yake.