MAANDALIZI KUELEKEA ERB MARATHON
wafanyakazi wa ERB wakiwa mazoezini katika viwanja vya UDASA, Dar es salaam kuelekea ERB MARATHON RUN FOR STEM, ambapo kilele chake inatajariwa kufanyika tarehe 7 september 2024