STEM AT KILASARI SEC SCHOOL, MOSHI

"ERB imeanzisha programu maalum ijulikanayo kama STEM Support Program (SSP) ikilenga kuunga mkono jitihada za Serikali ya awamu ya sita Chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuboresha sekta ya elimu kwa kuongeza idadi ya walimu wa sayansi,Maabara pamoja na Maktaba
Mhandisi Kavishe ameyasema hayo leo tarehe 21 Septemba, 2024 wakati wa mahafali ya kidato cha nne ya shule ya Sekondari Kilasara iliyopo Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro.